Jumatano ya March 26 2014 kulikua kufanyike mjadala wa wajumbe wa bunge la katiba Dodoma kuijadili hotuba ya Rais JAKAYA KIKWETE aliyoitoa wakati wa kuzindua bunge maalum la katiba pamoja na ile ya rasimu ya katiba iliyowasilishwa na mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba lakini mjadala huo umesitishwa. Maombi ya kujadiliwa...
The post Ulimis? hotuba ya Rais JK na ya rasimu ya katiba hazitojadiliwa tena bungeni. appeared first on TZA_MillardAyo.